Mwanaume akiwa na mimi hawezi kuniacha - Chemical

Claudia Lubao ‘Chemical’ amesema akiwa kwenye mahusiano na mwanaume, kamwe hawezi kumuacha kwani anayo mafunzo ya Kihaya kutoka kwao Bukoba.



Chemical amefunguka hayo juzikati mara baada ya kutua kutoka Uingereza anakosomea PHD ya Health and Developmental Sciences and Department of Music.


“Mimi nina moyo laini. Nina huruma, sitakagi kukaa sana na mtu karibu sababu nina huriuma. Huwezi kuniacha ukishakuwa na mimi na dawa zetu za bukoba wee,” alisema Chemical.


Chemical kwa sasa ameachiwa wimbo wake wa You & I ambao ulitanguliwa na drama za hapa na pale za kuvaa shela kama vile anaolewa.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE