Zuchu msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kuwa na Subscriber wengi


Staa wa muziki kutoka lebo ya @wcb_wasafi Zuhura Othmani alimaarufu kama @officialzuchu amekuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kwa kuongoza kuwa na Wafuasi (Subscriber) wengi zaidi katika mtandao wa YouTube.

@officialzuchu ambaye akaunti yake ya Youtube ilifunguliwa mwaka January 29 mwaka 2019 tayari amefikisha Wafuasi milioni mbili, 2milion kwa muda huo.

Kwa upande wa wasanii wa kiume msanii anayeongoza Afrika Mashariki ni @diamondplatnumz ambaye ni boss wake CEO wa WBC na kwa upande wa kike anayeongoza ni msanii kutoka WCB ambaye ni @officialzuchu

Kupitia Instagram yake @officialzuchu ameandika haya: “THANK YOU 🙏 SO MUCH .
2,000,000 Million subscribers on @youtube First East African Female Artist to ever Reach this milestone .The 4th Female Artist AFRICA .Mind you with in just two years in the music industry GOD IS GOOD.WE CANNOT STOP NOW WE HAVE A LIFE TO LEAVE ,COUNTRY TO REPRESENT AND A POINT TO PROVE …. LETS KEEP PUSHING
#SWAHILINATION

DOUBLE RELEASE ON 24/06/2022 😎



0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE